Bongo Fleva na ushirikina

Huyo ruby wahuni wamekifunua sana hapo kinondoni kwasababu ya ulevi wake.
 
Mganga ni agent kati yako na shetani ata yeye akitaka utajiri anafuata masharti wapo waganga matajiri wapo wengi tu ata mume wa zari alikuwa mganga
Mganga ni dalali (mtu kati) tu kati ya shetani na mtu anayetaka huo utajiri/umaarufu. Ila masharti yake ni mazito wengi wanavuma kidogo kisha wanachemka kutekeleza masharti ya shetani ndio hupotea kwenye game
 
hakuna hizo habari uchawi! kama ulishawahi kushuhudia toa ushahidi hapa
Sasa na wewe uchawi wa mzungu upo hadhari kabisa wee huoni? Sii ndalama mwanawane kuna uchawi zaidi ya huo mzeeya?
Hawa jamaa wachawi hadi kwenye uchawi wenyewe wameandika In God we trust. Usipinme mzeya
 
Kwamba Domo alitaka kumla πŸ’© MavokaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tenaπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza angetusimulia tu yule chinga mkipishana jiandae file lako kuwekwa hadharani
 
hata kama umetunga story hiyo number mbili ni ukweli mtupu asilimia 100 ya wasanii wakiume wamepoteza marinda.
hawa waganga hua wanawambia ukitafunwa unabeba nyota.
 
Hawa watu wengine wanatuchanganya sana ebu moderator ongezeni sauti hiyo nyimbo ya kwangwaru alafu ijirudie rudie tafadhali..!
 
Kwamba Domo alitaka kumla πŸ’© MavokaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tenaπŸ˜‚πŸ˜‚
Na Kwahiyo M.L.D wamekubali..??
 
hata kama umetunga story hiyo number mbili ni ukweli mtupu asilimia 100 ya wasanii wakiume wamepoteza marinda.
hawa waganga hua wanawambia ukitafunwa unabeba nyota.
Bongo fleva wote ni wachawi tu, nashangaa watu wanaopenda kusikiliza muziki huo
Hizo nyimbo sio nzuri kabisa kwa watoto huwa nashangaa nikiona mama anawachezesha mtoto wake
 
Hizo ni tabia za watu tu wameziset ili kupata majicho maana ndo stareh yao na ukizingatia vijana wengi wana njaa ya pesa na umaarufu.
Sidhani kama ni lazima ukiwa Star wa muziki ule au uliwe inategemea tu wewe ulipita njia gani au mkononi mwa nani.
Tukubaliane kwanza si wote ndipo tujadili mada vinginevyo ni majungu na wivu.
 
Sehemu zote zenye maokoto haya mambo ya kishetani yapo sana, inabaki kwako kuchagua upande eidha wa Mungu au Lucifer.
Aidha uchague upande wa Shetani au Luciffer ila jua tu uchomoki. Ukisimama nchale ukiinama nchale.
 
Wengine wanaambiwa wafanye uchafu na watoto wadogo chini ya miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…