Bongo Fleva wa Ukweli of all times

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,544
Reaction score
2,169
Binafsi nimechunguza kwa umakini sana na huu ndio msimamo wangu! Wafuatao ndio wanamuzuki nguli kabisaa;

1. Linex
2. King Kiba
3. Chegge
4. Afande Sele, na
5. Juma Kassim Nature, Kiroboto

Mimi Pangu Pakavu
Nimesema
 
duh,kweli kila mtu na akili zake
 
Lady Jay Dee, R.I.P Albert Manguer, Prof Jay, Diamond Platnumz, Ally Kiba,
 
Platnum diamond
Anajua kudhibiti jukwaa tu, sio kuimba, rejea nyimbo ya Number One remix, halafu angalia na original version, utaona maneno mazito"im gonna make you famous" ya Davido halafu angalia na jinsi jukwaa lilivyotendewa haki. Kifupi verse ya pili ambayo Mond aliimba hamna kitu
 
Kwamba Fid Q "Ngosha" hayumo...!!

Kweli nimeamini ukifanikiwa kusoma thread na post zote JF unaweza kuwa chizi...!!
 
manguli wenyew from the beginning....
dully
ali kiba
magwea albert (r i p)
ferouz lakin now days kapotea
fid q na profesaaa

ovaa
 
manguli wenyew from the beginning....
dully
ali kiba
magwea albert (r i p)
ferouz lakin now days kapotea
fid q na profesaaa

ovaa
Ngwair sio kabisa, Dully yuko vizuri kwenye Kolabo, Kiba sawa ila Fid Q duuh! Niite kwanza kwanza? Hahaha
 
Umoja=wimbo, wingi=nyimbo
 
Binafsi nimechunguza kwa umakini sana na huu ndio msimamo wangu? Wafuatao ndio wanamuzuki nguli kabisaa;
1. Linex
2. King Kiba
3. Chegge
4. Afande Sele, na
5. Juma Kassim Nature, Kiroboto

Mimi Pangu Pakavu
Nimesema
Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya. Diamond hakunaga kwa mziki wa kizazi hiki utake usitake ukweli utabaki kuwa ukweli.
 
Mm kuna jamaa anaitwa Rama Dee, yaani huwa nikimsikiliza huyu jamaa ndo huwa naamini the world is not fair..... Pata time kusikiliza kitu cha kipenda roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…