Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua kudhibiti jukwaa tu, sio kuimba, rejea nyimbo ya Number One remix, halafu angalia na original version, utaona maneno mazito"im gonna make you famous" ya Davido halafu angalia na jinsi jukwaa lilivyotendewa haki. Kifupi verse ya pili ambayo Mond aliimba hamna kituPlatnum diamond
Ngwair sio kabisa, Dully yuko vizuri kwenye Kolabo, Kiba sawa ila Fid Q duuh! Niite kwanza kwanza? Hahahamanguli wenyew from the beginning....
dully
ali kiba
magwea albert (r i p)
ferouz lakin now days kapotea
fid q na profesaaa
ovaa
mi na akili zangu tunamkubali DeeWe kama wewe unamkubali nani na akili zako mkuu?
usikilize tena huo wimboNgwair sio kabisa, Dully yuko vizuri kwenye Kolabo, Kiba sawa ila Fid Q duuh! Niite kwanza kwanza? Hahaha
Umoja=wimbo, wingi=nyimboAnajua kudhibiti jukwaa tu, sio kuimba, rejea nyimbo ya Number One remix, halafu angalia na original version, utaona maneno mazito"im gonna make you famous" ya Davido halafu angalia na jinsi jukwaa lilivyotendewa haki. Kifupi verse ya pili ambayo Mond aliimba hamna kitu
Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya. Diamond hakunaga kwa mziki wa kizazi hiki utake usitake ukweli utabaki kuwa ukweli.Binafsi nimechunguza kwa umakini sana na huu ndio msimamo wangu? Wafuatao ndio wanamuzuki nguli kabisaa;
1. Linex
2. King Kiba
3. Chegge
4. Afande Sele, na
5. Juma Kassim Nature, Kiroboto
Mimi Pangu Pakavu
Nimesema