Ulamaa sawa, ila niambie katoa album ngapi kama kweli ni "of all times"Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana.
sasa ndugu unadhan unaweza kutaja manguli alafu usimuweke Fid q kwel!?Ngwair sio kabisa, Dully yuko vizuri kwenye Kolabo, Kiba sawa ila Fid Q duuh! Niite kwanza kwanza? Hahaha
Hao wengine miyeyusho. Labda nature kidoooogoWengine?
Nitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"sasa ndugu unadhan unaweza kutaja manguli alafu usimuweke Fid q kwel!?
Mkuu ulichosema hapa ndio kweli yenyewe ambayo kila mmoja anaikubali..Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya. Diamond hakunaga kwa mziki wa kizazi hiki utake usitake ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mbingu yenyewe iko moja tu, wingi utoke wapi!!??Utakalia hayo hayo, nipe wingi wa neno "mbingu"
unaitwa nani... fid qNitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"
Ukimtaja linex ukamuacha mwana fa utakuwa kama yule mfalme juhaNitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"
Mkuu. . Wingi wa kazi si kigezo, zingatia ubora wa kazi yake.Ulamaa sawa, ila niambie katoa album ngapi kama kweli ni "of all times"