Bongo Fleva wa Ukweli of all times

Bongo Fleva wa Ukweli of all times

Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana.
Ulamaa sawa, ila niambie katoa album ngapi kama kweli ni "of all times"
 
Mm kuna jamaa anaitwa Rama Dee, yaani huwa nikimsikiliza huyu jamaa ndo huwa naamini the world is not fair..... Pata time kusikiliza kitu cha kipenda roho
Ntatafuta wasaa, asante
 
Ngwair sio kabisa, Dully yuko vizuri kwenye Kolabo, Kiba sawa ila Fid Q duuh! Niite kwanza kwanza? Hahaha
sasa ndugu unadhan unaweza kutaja manguli alafu usimuweke Fid q kwel!?
 
sasa ndugu unadhan unaweza kutaja manguli alafu usimuweke Fid q kwel!?
Nitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"
 
No moja kabisa hapo ni diamond halafu hao wachafu kuoga ndo wafuate
 
Niwe muwazi sifuati mkumbo, Kiba haniburudishi kabisa, ana nyota ya kupendwa tu. Linex hakika yupo vema, Chege sio mbaya, alikuwepo Solo Thang jamaa alikuwa na mashairi murua sana kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya. Diamond hakunaga kwa mziki wa kizazi hiki utake usitake ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mkuu ulichosema hapa ndio kweli yenyewe ambayo kila mmoja anaikubali..
Ila acha tu wapinge ili tuendelee kuchat..
 
1. SUGU
2.INSPECTOR HARUNI
3.JUMA NATURE
4.PROF JAY
5.MWANA FA
6.DIAMOND
7.LADY JAY D
8.Q CHIEF
9.AFANDE SELE
10. NGWEA
 
Sio mbaya kauzungumzia moyo wake ila upande wangu
1.prof Jay
2.nature
3.lady Jay dee
4.diamond platnumz
5.mwana fa
6.ngwair
7.fid q
8.jay moe
9.afande sele
10.solo thang
 
Nitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"
unaitwa nani... fid q
unaishi wap... getto
kazi yako nn... mziki

mkuu kama ukisikiliza nyimbo za fid q ni tofauti na unavyo msikiliza platnumz kwa mfano.

tuliza akili kidogo
 
Nitajie nyuzi moja tu ya huyo Ngosha, moja tu. Mi ntakutajia mbili tatu, moja "kama ningeweza" wa Linex halafu ongezea na "natamani" kisha nenda kwa Kiroboto kasikilize "inaniuma sanaa"
Ukimtaja linex ukamuacha mwana fa utakuwa kama yule mfalme juha
 
Mimi nitataja wa zaidi ya miaka 10 mpaka sasa wapo kwenye game vizuri na wanawakilisha bongofleva kama zamani tu na hawajachuja.

*Mr Blue
*Ay na mwana FA
*Lady Jay dee
*Ali Kiba
*Fid Q
*Joh Makini
*Dully Sykes
*Sugu
*Prof Jay
*Juma Nature
*Shaa
*Jay Mo
*TID

Pongezi kwao kwa kufanya vizuri mpaka sasa, wazuri wapo wengi sana nimechukua kigezo cha miaka 10 na zaidi (kipindi cha Mh Mkapa - JK mpaka Magufuli)..Wakongwe hawapewi thamani kubwa kama wanavyopewa thamani wasanii wapya na mashabiki
 
Back
Top Bottom