Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

Kumbe Bahati Bukuku ni Reggae Woman? [emoji23][emoji23][emoji23]

Akikusikia anamaindi sana.
 
Wimbo wake wa waraka ulibamba sana.

Usimsahau R. Mhando na wimbo wake mmoja hivi wa mahadhi ya reggae sijui unaitwaje.
Hizo nyimbo mbili za hao wasanii zitaendelea kuwa tamu siku zote
 
Back
Top Bottom