Bongo Hakuna Jezi Original

Bongo Hakuna Jezi Original

Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.

Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.

55*3013.67=165715

Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.

Bongo hakuna jezi original.

Naitwa Six Man.
View attachment 1334617

Sent using Jamii Forums mobile app

kaka mi naomba kuuliza kwani Original maana yake nini. mi nafikiri kwenye swala la Jezi neno Original ni "Irrelevant" word. mfano simba au Yanga wakiamua wawe wanachapisha jez watakazovaa wachezaji hapa hapa Bongo kutoka kiwanda cha kanga kile cha mbagala wakatumia malighafi za kamba za katani.

na wakaamua waanze kuziuza hizo jezi shilingi 5000. na wewe ukaamua kununua jezi yenye mfanano ule ule kama wa jezi ya simba au yanga. ila ww ukanunua ya Ulaya iliotengenezwa kwa pamba Grade A. jezi yako itakuwa FAKE na alienunua ile iliotengenezwa kwa katani mbagala inayouzwa na Simba au Yanga hiyo itakuwa OG. maana ndio hiyo wanayovaa wachezaji bila kujali ubora.

mfano chukua jezi halisi iliovaliwa na mathalani England wakati wanachukua Kombe la Dunia 1966. mtu akitengeneza jezi kama ile sasa hivi haijalishi ataitoa ya Ubora gani. ila itabaki Fake kwa kuwa sio halisi iliovaliwa na timu kipindi kile. ingawa inawezekana Quality ni mbovu kuliko itakayotolewa sasa hv.

nafikiria ungesema Jezi zetu QUALITY ni mbovu kwa maana imetengenezwa chini ya kiwango. ila sio fake maana ukisema fake inamaana hiyo OG inatoka wapi na inavaliwa na nani. ikiwa hiyo unayooita fake ndio hiyo wanazovaa wachezaji

NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI TU
 
Jezi original ni jezi inayovaliwa na wachezaji husika, au kuuzwa katika duka la klabu au maduka mengine yaliyopewa dhamana na klabu..

Nawaza tu..

kwa hiyo utakubaliana na mimi hata kam awanavaa katani. atakenunua iliotengenezwa kwa Pamba Grade A yake itakuwa fake sababu timu husika inavaa za katani.

OG sio mara zote humaanisha Good Quality. wakati mwingine ni uhalisia kutoka chanzo
 
Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yeye anauza 35000 full mwizi, wakati hyo jezi ni 15000 to 20000
 
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.

Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.

55*3013.67=165715

Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.

Bongo hakuna jezi original.

Naitwa Six Man.
View attachment 1334617

Sent using Jamii Forums mobile app
Jezi Og zipo kuna watu wanaletewa na Ndugu zao toka nje, zipo supermarket/maduka brand kubwa yenye Jezi Og. Sema bei ni ghali.

Ila maduka ya kariakoo zile sio OG.
 
Jezi ya samagoal ni laki 3 na ushee.

Yaani hawa jamaa wanaweza rudisha hela yao kwenye mauzo ya jezi tu.
Mauzo ya jezi hayaendi kwenye club bali mtengeneza jezi kama Adidas, puma, Nike etc. Ndio maana hayo makampuni yanatoa hela ndefu kununua haki ya kutengeneza jezi kwa hizo club.

Kuna ka asilimia fulani kadogo kanaenda kwenye club vigezo fulani vikitimizwa.
 
Replica, Authentic na Fake zina maana tofauti.., Jezi inaweza kuwa Replica, ila sio authentic lakini haimaanishi ni Fake..

Pia Quality inaweza kuwa bora ila ikawa sio authentic wala replica yaani ikawa Fake...,
 
kaka mi naomba kuuliza kwani Original maana yake nini. mi nafikiri kwenye swala la Jezi neno Original ni "Irrelevant" word. mfano simba au Yanga wakiamua wawe wanachapisha jez watakazovaa wachezaji hapa hapa Bongo kutoka kiwanda cha kanga kile cha mbagala wakatumia malighafi za kamba za katani.

na wakaamua waanze kuziuza hizo jezi shilingi 5000. na wewe ukaamua kununua jezi yenye mfanano ule ule kama wa jezi ya simba au yanga. ila ww ukanunua ya Ulaya iliotengenezwa kwa pamba Grade A. jezi yako itakuwa FAKE na alienunua ile iliotengenezwa kwa katani mbagala inayouzwa na Simba au Yanga hiyo itakuwa OG. maana ndio hiyo wanayovaa wachezaji bila kujali ubora.

mfano chukua jezi halisi iliovaliwa na mathalani England wakati wanachukua Kombe la Dunia 1966. mtu akitengeneza jezi kama ile sasa hivi haijalishi ataitoa ya Ubora gani. ila itabaki Fake kwa kuwa sio halisi iliovaliwa na timu kipindi kile. ingawa inawezekana Quality ni mbovu kuliko itakayotolewa sasa hv.

nafikiria ungesema Jezi zetu QUALITY ni mbovu kwa maana imetengenezwa chini ya kiwango. ila sio fake maana ukisema fake inamaana hiyo OG inatoka wapi na inavaliwa na nani. ikiwa hiyo unayooita fake ndio hiyo wanazovaa wachezaji

NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI TU
Jersey hata zikitengenezwa huko wingereza na quality zote za kimataifa kama hazijatolewa na wenye haki milki za kutengeneza na kusambaza hizo Jersey bado zitakuwa fake tu,

Kwenye case ya Aston Villa Kappa pekee ndio wenye hizo haki, hata kama hii leo Nike ikitokea wametengeneza hizo jezi(kitu ambacho hakiwezekani) bado zitakuwa ni Jersey fake za Aston Village ila zenye standard quality

Ila hizi Jersey tunazo uziwa huku buku 25 ni fake na pia ni poor quality lakini jamaa bado wanatuuzia kwa kutudanganya ni OG kitu ambacho siyo sawa bora umuweke mteja wazi ili tujue tupo daraja gani

Case ya Jersey za England mwaka 66 hizo zilizotelewa kipindi hicho ndio original ila hizi zitakazokuja kutengenezwa kwa miaka ya sasa hivi na kucopy mwonekano wa hizo za zamani kama vitakuwa zimepewa ruhusa na watengenezaji wa mwanzo au hiyo campuni ya mwanzo ndio imeamua kuzirudia zitapewa jina lingine mfano zitaitwa second edition au vyovyote vile nazo zitakuwa OG ila kwa jina liningine ila hizo za66 na ukatani na ubovu wake wote zitabaki kuwa OG

]
 
Back
Top Bottom