Paundi sio elfu tatu we jamaa
2800-2999
Alafu mkuu hata hiyo kama ulinunua 30k ulipigwa bado[emoji3][emoji3][emoji3] maana hizi zenye quality ya kawaid ni 20k tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda bureau de change wakupe hiyo elfu tatu
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.
Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.
55*3013.67=165715
Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.
Bongo hakuna jezi original.
Naitwa Six Man.
View attachment 1334617
Sent using Jamii Forums mobile app
Shafii anazo
Jezi original ni jezi inayovaliwa na wachezaji husika, au kuuzwa katika duka la klabu au maduka mengine yaliyopewa dhamana na klabu..kaka mi naomba kuuliza kwani Original maana yake nini. mi nafikiri kwenye swala la Jezi neno Original ni "Irrelevant" word. mfano simba au Yanga wakiamua wawe wanachapisha jez watakazovaa wachezaji hapa hapa Bongo kutoka kiwanda cha kanga kile cha mbagala wakatumia malighafi za kamba za katani.
na wakaamua waanze kuziuza hizo jezi shilingi 5000. na wewe ukaamua kununua jezi yenye mfanano ule ule kama wa jezi ya simba au yanga. ila ww ukanunua ya Ulaya iliotengenezwa kwa pamba Grade A. jezi yako itakuwa FAKE na alienunua ile iliotengenezwa kwa katani mbagala inayouzwa na Simba au Yanga hiyo itakuwa OG. maana ndio hiyo wanayovaa wachezaji bila kujali ubora.
mfano chukua jezi halisi iliovaliwa na mathalani England wakati wanachukua Kombe la Dunia 1966. mtu akitengeneza jezi kama ile sasa hivi haijalishi ataitoa ya Ubora gani. ila itabaki Fake kwa kuwa sio halisi iliovaliwa na timu kipindi kile. ingawa inawezekana Quality ni mbovu kuliko itakayotolewa sasa hv.
nafikiria ungesema Jezi zetu QUALITY ni mbovu kwa maana imetengenezwa chini ya kiwango. ila sio fake maana ukisema fake inamaana hiyo OG inatoka wapi na inavaliwa na nani. ikiwa hiyo unayooita fake ndio hiyo wanazovaa wachezaji
NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI TU
Ndo ninapofanyia kazi..huwezi kunidanganyaNenda bureau de change wakupe hiyo elfu tatu
Jezi original ni jezi inayovaliwa na wachezaji husika, au kuuzwa katika duka la klabu au maduka mengine yaliyopewa dhamana na klabu..
Nawaza tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anauza 35000 full mwizi, wakati hyo jezi ni 15000 to 20000Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanarudisha kivipi?Jezi ya samagoal ni laki 3 na ushee.
Yaani hawa jamaa wanaweza rudisha hela yao kwenye mauzo ya jezi tu.
Jezi Og zipo kuna watu wanaletewa na Ndugu zao toka nje, zipo supermarket/maduka brand kubwa yenye Jezi Og. Sema bei ni ghali.Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.
Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.
55*3013.67=165715
Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.
Bongo hakuna jezi original.
Naitwa Six Man.
View attachment 1334617
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauzo ya jezi hayaendi kwenye club bali mtengeneza jezi kama Adidas, puma, Nike etc. Ndio maana hayo makampuni yanatoa hela ndefu kununua haki ya kutengeneza jezi kwa hizo club.Jezi ya samagoal ni laki 3 na ushee.
Yaani hawa jamaa wanaweza rudisha hela yao kwenye mauzo ya jezi tu.
Umeshikiwa bunduk ununue???Yeye anauza 35000 full mwizi, wakati hyo jezi ni 15000 to 20000
Weka bei ya kuuza na kununua
Jersey hata zikitengenezwa huko wingereza na quality zote za kimataifa kama hazijatolewa na wenye haki milki za kutengeneza na kusambaza hizo Jersey bado zitakuwa fake tu,kaka mi naomba kuuliza kwani Original maana yake nini. mi nafikiri kwenye swala la Jezi neno Original ni "Irrelevant" word. mfano simba au Yanga wakiamua wawe wanachapisha jez watakazovaa wachezaji hapa hapa Bongo kutoka kiwanda cha kanga kile cha mbagala wakatumia malighafi za kamba za katani.
na wakaamua waanze kuziuza hizo jezi shilingi 5000. na wewe ukaamua kununua jezi yenye mfanano ule ule kama wa jezi ya simba au yanga. ila ww ukanunua ya Ulaya iliotengenezwa kwa pamba Grade A. jezi yako itakuwa FAKE na alienunua ile iliotengenezwa kwa katani mbagala inayouzwa na Simba au Yanga hiyo itakuwa OG. maana ndio hiyo wanayovaa wachezaji bila kujali ubora.
mfano chukua jezi halisi iliovaliwa na mathalani England wakati wanachukua Kombe la Dunia 1966. mtu akitengeneza jezi kama ile sasa hivi haijalishi ataitoa ya Ubora gani. ila itabaki Fake kwa kuwa sio halisi iliovaliwa na timu kipindi kile. ingawa inawezekana Quality ni mbovu kuliko itakayotolewa sasa hv.
nafikiria ungesema Jezi zetu QUALITY ni mbovu kwa maana imetengenezwa chini ya kiwango. ila sio fake maana ukisema fake inamaana hiyo OG inatoka wapi na inavaliwa na nani. ikiwa hiyo unayooita fake ndio hiyo wanazovaa wachezaji
NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI TU
Yaani saa zingine hata mwenye OG anajiona falaHakuna kitu kama kinachonisikitishaga sana pale ninapoona mtu kavaa mfano ROLEX famba na bado anavimba hivyo hivyo kwenye jezi na brand nyingine sijui gucci,versache,fendi zote ni famba kutoka SIDO za CHINA.
Sent using Jamii Forums mobile app