Basi na wewe kanunua uuze hata 15000 afu uone nani atauza zaidiYeye anauza 35000 full mwizi, wakati hyo jezi ni 15000 to 20000
Ungekuwa unaAKILI Usingeandika huu upupu.
Yeye anauza 35000 full mwizi, wakati hyo jezi ni 15000 to 20000
Jez anazouza daudi sijui,ndo hizo hizo K/Koo tunanunua 20-25kNi original, ila hizo original pia zina grade, hizi tunazovaa bongo hata wenye club wanazitambua na kuna mapato wanapata kutokana na jezi tuzivaazo sisi shit kantri
Ni shs ngapi ?Paundi sio elfu tatu we jamaa
Ok , ni original au sio original ?Kuna viwanda vipo Bangladesh vinatengeneza jezi kwa bei rahisi sababu ya cheap labour