Gabriel Junior
Member
- May 7, 2019
- 19
- 18
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop
" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".
Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!
Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo