Bongo hip hop haiuzi hailipi, Madee uliimba ukweli

Joined
May 7, 2019
Posts
19
Reaction score
18
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop

" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".

Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!

Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo
 
Kwenye list yako hapo mtoe roma, stamina young killee na country boy hao hawafanyi real hip hop zaidi ya michambo na hata ule wimbo wa madee uliwalenga wasanii wa namna hii

muache nikki mbishi alafu muweke na uno, stereo, dizasta vinna, mbeya boy chuma, p mawenge nk nash mc. Hii ndio hip hop halisi
 
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop

" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".

Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!

Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo
Uko serious kabisa unamuweka huyo mpaka wanja wako country boy eti mwanahiphop
 
Country boy ndio nani kwenye hip hop? Mbona kama unadhalilisha tasnia. Huyo sindio alipaka lipstick ya zambarau eti swaga?
 
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop

" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".

Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!

Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo
Dah mkuu tutake radhi wana real hip hop mtoe stamina, young killer, country hawa ni wana mitindo tu sio real hip hop weka kina dizasta, p the mc , yaan i mean weka tamaduni yote
 
Uko serious kabisa unamuweka huyo mpaka wanja wako country boy eti mwanahiphop
Nimestuka sana kusoma huu uzi nimegundua bado kuna watu wanashindwa kutofautisha hip hop rappers na mumble rappers
 
Kitu ambacho hujui hip hop siku zote siyo ‘biashara’ na wala kuendesha magari siyo kufanikiwa
 
Back
Top Bottom