Bongo joto kali

Bongo joto kali

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Bongo land kwa sasa kuna joto kali sana

Jitahid kuwa msafi Ndugu yangu

kira asubuhi jaribu kuoga sio kunawa na kuondoka

Yan unakutana na mtu ktk public bus athee acha

yan mtu ananuka harufu kali sana kias kwamba unaweza pata hata mafua

Mnakera buana

aaaaaarrrrgggg

Mbaya zaid unalikuta limtu ni jitu zima

Iyo midomo sasa kaaaaaahhh

Domo linanuka

Mtu akishika lile bomba la bus afu uwe karibu amekuwekea kikwapa chake mbaya zaid kuwe na folen utaomba poohhhhh

Kuna mijitu inaamka asubuhi inakurupuka tuuu kuvaa na kusepa

Et asubui kuna kibarid ivyo Hawez kuoga achen buana aya makitu atheeee

Na soks tufue buana
 
Back
Top Bottom