Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mandonga akiingia tena uwanjani nchi itasimama hiiShuhuli ni ya Mandonga hii, huyu mwingine asubirie kwanza.
Labda wewe ndo umekuja kumjua baada ya kupigana na mandonga,Mwakinyo alipigwa na huyu mwamba..alitangaza kustaafu baada ya kupigwa na kidunda.Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
View attachment 2311167View attachment 2311169
Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
View attachment 2311167View attachment 2311169
Hv hili pambano la Mwakwinyo na huyu Kaoneka lilikua mwaka gan ....sikuwahi kufaham hapo kablaLabda wewe ndo umekuja kumjua baada ya kupigana na mandonga,Mwakinyo alipigwa na huyu mwamba..alitangaza kustaafu baada ya kupigwa na kidunda.

Baalaa yaani ameibuka ghafla Sana!!!Nilimuangaliq jana asbh IG Yake ilikuwa na 6k Followers Now hadi nareplybuzi huu inq 14.6k Haya si maajabu