Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe.

Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
 
Umewahi kumskia Edo anaongea?

Jamaa mweupe sanaaaa, ila akishika kalamu utapenda mwenyewe.
Kuna watu wakiandika mawazo yao inakuwa super sana.

Huyo Dr leacky me naonaga kama anaijua tu historia ya soka vizuri sana.
 
Uko sahihi ila wana utofauti angalau.

Kuhusu niche zao ulizotaja wapo imara, kuna wengine hata niche zao hawazijui kabisa.
 
Umewahi kumskia Edo anaongea?

Jamaa mweupe sanaaaa, ila akishika kalamu utapenda mwenyewe.
Kuna watu wakiandika mawazo yao inakuwa super sana.

Huyo Dr leacky me naonaga kama anaijua tu historia ya soka vizuri sana.
Leaky alikuwa anacheza na media za majuu wakati tukiwa gizani. Nae mweupe tu historian.
 
USIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.

1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.
4. Nazareth Utepe.

Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.

Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.

Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.
 
Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe.

Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
wengi wachaguzi
 
USIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.

1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.

Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.

Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.

Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.J
sawa sawa, ila umemsahau kidogo Kiemba tangu utotoni amekulia kwenye soka
 
Leaky alikuwa anacheza na media za majuu wakati tukiwa gizani. Nae mweupe tu historian.
Sikupingi lakini angalau historia zake za soka zinaendana na takwimu na matukio ya soka na wachezaji. Ila kwa sasa uchawa umezidi
 
USIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.

1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.

Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.

Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.

Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.
Jemedari Said Kazumari mbwiga wa
USIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.

1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.

Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.

Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.

Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.
Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga mafi ya bata dume.
 
Jemedari Said nadhani anaongoza kwa kuwa mchafuzi namba 1 wa soka nchini.
Yule ndio Kichekesho.
20230621_215254.jpg
 
Back
Top Bottom