Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Uko sahihi ila wana utofauti angalau.Umewahi kumskia Edo anaongea?
Jamaa mweupe sanaaaa, ila akishika kalamu utapenda mwenyewe.
Kuna watu wakiandika mawazo yao inakuwa super sana.
Huyo Dr leacky me naonaga kama anaijua tu historia ya soka vizuri sana.
Leaky alikuwa anacheza na media za majuu wakati tukiwa gizani. Nae mweupe tu historian.Umewahi kumskia Edo anaongea?
Jamaa mweupe sanaaaa, ila akishika kalamu utapenda mwenyewe.
Kuna watu wakiandika mawazo yao inakuwa super sana.
Huyo Dr leacky me naonaga kama anaijua tu historia ya soka vizuri sana.
wengi wachaguziMchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe.
Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
swengi wachaguzi
SawaJemedari Said nadhani anaongoza kwa kuwa mchafuzi namba 1 wa soka nchini.
kutokana na kujiuza kwao badala ya kuuza taaluma yaowengi wachaguzi
sawa sawa, ila umemsahau kidogo Kiemba tangu utotoni amekulia kwenye sokaUSIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.
1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.
Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.
Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.
Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.J
Sikupingi lakini angalau historia zake za soka zinaendana na takwimu na matukio ya soka na wachezaji. Ila kwa sasa uchawa umezidiLeaky alikuwa anacheza na media za majuu wakati tukiwa gizani. Nae mweupe tu historian.
Jemedari Said Kazumari mbwiga waUSIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.
1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.
Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.
Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.
Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.
Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga mafi ya bata dume.USIPENDE KUWASIKILIZA WACHAMBUZI. ILA WASIKILIZE HAWA WATU KIDOGO.
1. George Ambangile.
2. Jemedari saidi.
3. Abisay Steven.
Ambangile na JEMEDARI ni MAKOCHA wamesoma TFF karume.
Abisay Amekulia Redion baba yake Alikuwa RTD.
Kasuga na
Farhan
Wanakuja vizuri sana.
Umbwa mkubwa huyo jamaa, mshenzi mkubwa kabisa.Jemedari Said nadhani anaongoza kwa kuwa mchafuzi namba 1 wa soka nchini.
Na list bado ina load...,Jemedari Said Kazumari mbwiga wa
Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga mafi ya bata dume.
Yule ndio Kichekesho.Jemedari Said nadhani anaongoza kwa kuwa mchafuzi namba 1 wa soka nchini.