twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta.
Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma lakini maskini ya Mungu dada lile ni bongo lala kwake umeneja ulikuwa ni mzigo mzito sana.
Dada yule hakuwa na morali ya kuwa sehemu ya kuongeza kipato badala yake alikuwa na kiu ya kupunguza kipato tu. Na hili ni funzo kwa vijana wote unapotaka kuwa na mwanamke wa maisha yako usiangalie msambwanda tu, omba Mungu upate mwanamke mwenye akili.
Ukipata jitu linawaza kula bata na udangaji tu utaumia sana na utafifisha sana ndoto zako za kupata maisha bora.
Super Star Konde boy tuliza akili na kazi, saivi East Africa umemaliza nenda Africa sasa.