Show off Kwa sanaaaa [emoji3][emoji23]
Unakuta Mtu eti hana kazi ya maana yenye kuweza kumpatia kipato cha uhakika Kwa kila mwezi (fixed income earners) lakini anataka kuishi maisha ya gharama ya mashindano [emoji108]
Saluni za gharama, Nguo za gharama, sehemu ya kutembea Kwa miguu au kupanda daladala lakini atapanda tax [emoji87][emoji87]
Wengi wao wamekuwa kam matapeli madeni kila halali!
Kwenye maswala ya maadili mema ndo balaaa!
Kwa Kweli hadi huruma !