Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kwa style hii ya Bongo movie kupigana vijembe na kuonyeshana chuki hadharani kweli mtafika?
Juzi baada ya usiku wa tuzo kuisha na wasanii Wema na Gabo kuchukua tuzo wengi wameonyesha kutokupendezwa na kuonyesha chuki hadharani.
Hivi mlikua wapi kupeleka kazi zenu mpk mulalamike hvyo?
Mbona mna majungu hvyo?
Hivi mtafika Bollywood au Hollywood au ht Nolywood kwa style hii?
Tunapenda sana sanaa ila mnatukatisha tamaa kwa movie zenu mbovu zisizovutia tumebase kwa wazungu,wakorea wahindi n.k
Ifike mahali mjitathmini wapi mlikosea sio kupondaa tuuu!au kwa kua kapata Wema?!
Mlitaka akose mfurahi?!Dah!badilikeni jamani!tunahitaji kina Lupita Tanzania!
Mmenifadhaisha mnoo Bongo movie mnoo!
Wasanii wengi wa kike mnachojua kuoa viben ten na wanaume kua wadananda(makuwadi).
Leo Azam wameanzisha Sinema zetu International Film Festival mmeambiwa mpeleke movie hamjapeleka!Leo kapata tuzo mnalalamika!
Acheni roho mbaya nyie kina Batuli.