Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh.. Umetisha.. Basi ntakuja kuchukua za kibongo mpya kama unazompendwa mie tena na pilau nipo full, kuanzia memory card hadi external hd nmejaza😀
Yani hadi no space for new pilau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh.. Umetisha.. Basi ntakuja kuchukua za kibongo mpya kama unazompendwa mie tena na pilau nipo full, kuanzia memory card hadi external hd nmejaza😀
Yani hadi no space for new pilau
Hata Mimi nimeshangaa, tuacheni ushabiki wa kinafiki ktk kipengele hichi mashindi hakustahili kua Wema.Kwa hawa wanawake hivi wema nini kimemshindisha hyo tuzo?Riyama deserve than her.
Huyo unayedhani ndie alistahili; je filamu aliyoshiriki iliwasilishwa kwenye awards?Hata Mimi nimeshangaa, tuacheni ushabiki wa kinafiki ktk kipengele hichi mashindi hakustahili kua Wema.
kulalamika ni kawaida tu kama unavyolalamika wewe juu ya wao kulalamika
Mpendwa pilau za bongo sio, nlicheki moja ya buguruni khaaaaaaTeh teh.. Umetisha.. Basi ntakuja kuchukua za kibongo mpya kama unazo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi ilikuajeMpendwa pilau za bongo sio, nlicheki moja ya buguruni khaaaaaa
Majungu ni mtaji mkuu kibongobongoKwa style hii ya Bongo movie kupigana vijembe na kuonyeshana chuki hadharani kweli mtafika?
Juzi baada ya usiku wa tuzo kuisha na wasanii Wema na Gabo kuchukua tuzo wengi wameonyesha kutokupendezwa na kuonyesha chuki hadharani.
Hivi mlikua wapi kupeleka kazi zenu mpk mulalamike hvyo?
Mbona mna majungu hvyo?
Hivi mtafika Bollywood au Hollywood au ht Nolywood kwa style hii?
Tunapenda sana sanaa ila mnatukatisha tamaa kwa movie zenu mbovu zisizovutia tumebase kwa wazungu,wakorea wahindi n.k
Ifike mahali mjitathmini wapi mlikosea sio kupondaa tuuu!au kwa kua kapata Wema?!
Mlitaka akose mfurahi?!Dah!badilikeni jamani!tunahitaji kina Lupita Tanzania!
Mmenifadhaisha mnoo Bongo movie mnoo!
Wasanii wengi wa kike mnachojua kuoa viben ten na wanaume kua wadananda(makuwadi).
Leo Azam wameanzisha Sinema zetu International Film Festival mmeambiwa mpeleke movie hamjapeleka!Leo kapata tuzo mnalalamika!
Acheni roho mbaya nyie kina Batuli.
Hata mimi nimeona hizi awards za Azam zitasaidia kuwatoa kwenye usingizi wa kulewa umaarufu usio na tija.
Irene ajitazame upya. Alikuwa star wa bongo movie anayekubalika sana hadi nje ya Tanzania. Lakini hakuulinda ustar wake kwa kufanya kazi nzuri zaidi. Alipoona umaarufu unapungua akaona asafishe nyota kwa kujikabidhi kwa Ben7. Sasa kasahau kwamba hicho si kigezo cha kupata award.