Bongo movie bhana wanachekesha kweli!

Ila anajua kupiga vile vyakula vitamu tamu kama vyuku mayai cjui kukaanga soseji na viubwabwa na kidogo chipschips kama wapo humu jf shame on u dada wakitzYaViwonder.
Ila mi nitahitaji Leaving Certificate tu mambo ya chakula tumwachie dada wa kazi
 
Wewe ndio upigwe ban, uliechafua hali ya hewa utaniambiaje mie nitaolewa, nikiwa baba wa familia mseng* wee.
 
Utaolewa acha shobo mkuu
Mods mnatakiwa watu kama hawa wanaochafua hali ya hewa kwenye, uzi za wenzao humu Jf muwe mnawapiga ban, ataniambiaje mie namnukuu "Niache shobo nitaolewa" wakati mimi baba wa familia ya watoto wa nne, huu si Uchochezi na Udhalilishaji!!
 
😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
Mama angu watoto wa 4 utakua umeshatanuka sana uko ila pole sana
 
Flashback, mtu anarudisha kumbukumbu miaka ya 1960 alivyokuwa anachezea maisha na kuponda raha, lakini background ya nyimbo kwenye flashback ni nyimbo iliyotoka jana...

cc: mahondaw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo movie pasua kichwa. Ndo naangakia hapa kwenye basi kwa kulazimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…