Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Mh! Hii mpya loh!Unakuta mzuka, jini au lishetani linakula chipsi kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Hii mpya loh!Unakuta mzuka, jini au lishetani linakula chipsi kuku
Ina maana alikuwa anaishi kwa shemeji?![emoji15]Tangu Dada yake atimuliwe na shemeji yake
Hali imemkazia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuta mzuka, jini au lishetani linakula chipsi kuku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] husna upo.Mh! Hii mpya loh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu Dada yake atimuliwe na shemeji yake
Hali imemkazia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mlinzi wa getini lazima awe kama chizi
Utaolewa acha shobo mkuuHivi Joseverest: yupo humu kweli, au katekwa na Nissan nyeupe, sijamuona siku mbili tatu hivi.
Kum* la mamayo.Utaolewa acha shobo mkuu
Mods naomba mpige ban huyu dada maana anatukana ovyoKum* la mamayo.
Ha ha ha umenivunja mbavujini kakodi bajaji kumkimbiza mbaya wake
Mods mnatakiwa watu kama hawa wanaochafua hali ya hewa kwenye, uzi za wenzao humu Jf muwe mnawapiga ban, ataniambiaje mie namnukuu "Niache shobo nitaolewa" wakati mimi baba wa familia ya watoto wa nne, huu si Uchochezi na Udhalilishaji!!Utaolewa acha shobo mkuu
Mama angu watoto wa 4 utakua umeshatanuka sana uko ila pole sanaMods mnatakiwa watu kama hawa wanaochafua hali ya hewa kwenye, uzi za wenzao humu Jf muwe mnawapiga ban, ataniambiaje mie namnukuu "Niache shobo nitaolewa" wakati mimi baba wa familia ya watoto wa nne, huu si Uchochezi na Udhalilishaji!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo movie pasua kichwa. Ndo naangakia hapa kwenye basi kwa kulazimishwaFlashback, mtu anarudisha kumbukumbu miaka ya 1960 alivyokuwa anachezea maisha na kuponda raha, lakini background ya nyimbo kwenye flashback ni nyimbo iliyotoka jana...
cc: mahondaw
Pole sana mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo movie pasua kichwa. Ndo naangakia hapa kwenye basi kwa kulazimishwa
MweeeeTangu Dada yake atimuliwe na shemeji yake
Hali imemkazia
Hivi Joseverest: yupo humu kweli, au katekwa na Nissan nyeupe, sijamuona siku mbili tatu hivi.