mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa.
Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua?
Nani ananufaika na nani anaumia?
Je filamu zikiwa bei pendekezwa ya Steps zitauzika zaidi au bei ya sasa ina mashiko?
Je takwimu hizo zina uhalisia?
something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea
na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...
au tufanye mimi ndo nimekosea
jf kuna wasomi jamani.. safi sana msomaji mzuri hujakosea kabisa upo vizuri mkuu sio wenzetu wana kisia kisia tu
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa.
Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua?
Nani ananufaika na nani anaumia?
Je filamu zikiwa bei pendekezwa ya Steps zitauzika zaidi au bei ya sasa ina mashiko?
Je takwimu hizo zina uhalisia?
something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea
na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...
au tufanye mimi ndo nimekosea
Analysis yako umeifanya kupitia maneno ya mleta mada na sio taarifa ya Zitto! Zitto kabwe amesema "kazi za sanaa" milioni nane na sio "kazi za filamu." Kilichorasimishwa sio filamu peke yake kwa kuangalia zile stamps bali hata muziki na kazi zingine za sanaa! Ukichukulia muziki kwa mfano, ring tones hazijaanza kuuzwa leo wala jana lakini wasanii (wa muziki) walikuwa hawafaidiki coz' kazi zilikuwa hazijarasmishwa lakin leo hii ringtone ni moja ya source kubwa ya mapato kwa wanamuziki baada ya kurasimishwa! Na katika hili sio lazima uwe unapanda kwenye stage... kama una uwezo wa kuandika mashairi mazuri na kuengeneza melody, hiyo inatosha kabisa... hakuna atakayekufahamu kwamba wewe ni mwanamuziki lakini unaweza kuendesha yako peacefully kupitia ringtones bila wewe kuingia studio! Hii kitu anaifanya sana Dogo Ditto.something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea
na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...
au tufanye mimi ndo nimekosea
Hata hivo sidhani kama kuna uwezekano wa filamu 11 kila siku,kwahiyo kwa week moja kuna filamu mpya 77 bongo?
Zitto hajasema filamu 11 kila siku bali kazi (za sanaa) 11 kila siku.mkuu hizo filamu milioni 8 unazijua au!! naona mheshmiwa nae alikurupuka
You got it right... KAZI(za sanaa) na sio filamu!Me sijaona sehemu Zitto ameandika filamu,amesema "kazi za wasanii",na hizo kazi zipo nyingi sio filamu tu
achana kutetea makosa yaliyo wazi..ok ngoja tukubaliane na wewe,sasa basi sasa fanya computation ya hizo number alizotoa za kazi za wasaniiAnalysis yako umeifanya kupitia maneno ya mleta mada na sio taarifa ya Zitto! Zitto kabwe amesema "kazi za sanaa" milioni nane na sio "kazi za filamu." Kilichorasimishwa sio filamu peke yake kwa kuangalia zile stamps bali hata muziki na kazi zingine za sanaa! Ukichukulia muziki kwa mfano, ring tones hazijaanza kuuzwa leo wala jana lakini wasanii (wa muziki) walikuwa hawafaidiki coz' kazi zilikuwa hazijarasmishwa lakin leo hii ringtone ni moja ya source kubwa ya mapato kwa wanamuziki baada ya kurasimishwa! Na katika hili sio lazima uwe unapanda kwenye stage... kama una uwezo wa kuandika mashairi mazuri na kuengeneza melody, hiyo inatosha kabisa... hakuna atakayekufahamu kwamba wewe ni mwanamuziki lakini unaweza kuendesha yako peacefully kupitia ringtones bila wewe kuingia studio! Hii kitu anaifanya sana Dogo Ditto.
Watu wengine bhana! Sasa ninachotetea ni nini hapa? Umeisoma hiyo Tweet ya Zitto? Na kama umeisoma kuna sehemu amesema ni filamu? Hebu onesha hapa hayo makosa yaliyo wazi.achana kutetea makosa yaliyo wazi..ok ngoja tukubaliane na wewe,sasa basi sasa fanya computation ya hizo number alizotoa za kazi za wasanii
kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11Watu wengine bhana! Sasa ninachotetea ni nini hapa? Umeisoma hiyo Tweet ya Zitto? Na kama umeisoma kuna sehemu amesema ni filamu? Hebu onesha hapa hayo makosa yaliyo wazi.
Yaani haiwezekani kuwa na kazi 11 kwa siku? Hivi unafahamu kwa siku ni nyimbo ngapi zinakuwa released? Hivi una habari hata hao Bongo Movie kila siku wanakuwa location? Siku hizi kila msanii wa Bongo Movie anajiita producer na director na kuanza kutengeneza kazi zake mwenyewe! Halafu useme kazi za filamu+bongo flavor hazifiki 11 kwa siku?!kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11
Tatizo sio filamu tatizo ni computation zimekosewa
kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11
Tatizo sio filamu tatizo ni computation zimekosewa
kama mpaka hapa hujanielewa You need Jesus...maana naona umeanza kuleta data zako na sio zile za kwenye main topic...linaweza kuwa sio kosa lako pia maana MATHEMATICS ni janga la Taifa so huelewi hata average inatapatikanajeYaani haiwezekani kuwa na kazi 11 kwa siku? Hivi unafahamu kwa siku ni nyimbo ngapi zinakuwa released? Hivi una habari hata hao Bongo Movie kila siku wanakuwa location? Siku hizi kila msanii wa Bongo Movie anajiita producer na director na kuanza kutengeneza kazi zake mwenyewe! Halafu useme kazi za filamu+bongo flavor hazifiki 11 kwa siku?!
Mathematics ni janga la TaifaZinapatikana sana.
Wewe nadhani natakiwa kukupuuza kwa sababu tunapotezeana muda bila sababu! Post ambayo ulini-quote ni hii:kama mpaka hapa hujanielewa You need Jesus...maana naona umeanza kuleta data zako na sio zile za kwenye main topic...linaweza kuwa sio kosa lako pia maana MATHEMATICS ni janga la Taifa so huelewi hata average inatapatikanaje
Sijazungumzia popote suala la hiyo "11" na any kind of arithmetic bali nilijikita kwenye suala la "kazi za sanaa" kama alivyosema Zitto na suala la kazi za filamu kama ilivyotafsiriwa na wadau! Wewe ndo ukaja na habari zako za namba, ukasema:Analysis yako umeifanya kupitia maneno ya mleta mada na sio taarifa ya Zitto! Zitto kabwe amesema "kazi za sanaa" milioni nane na sio "kazi za filamu." Kilichorasimishwa sio filamu peke yake kwa kuangalia zile stamps bali hata muziki na kazi zingine za sanaa! Ukichukulia muziki kwa mfano, ring tones hazijaanza kuuzwa leo wala jana lakini wasanii (wa muziki) walikuwa hawafaidiki coz' kazi zilikuwa hazijarasmishwa lakin leo hii ringtone ni moja ya source kubwa ya mapato kwa wanamuziki baada ya kurasimishwa! Na katika hili sio lazima uwe unapanda kwenye stage... kama una uwezo wa kuandika mashairi mazuri na kuengeneza melody, hiyo inatosha kabisa... hakuna atakayekufahamu kwamba wewe ni mwanamuziki lakini unaweza kuendesha yako peacefully kupitia ringtones bila wewe kuingia studio! Hii kitu anaifanya sana Dogo Ditto.
Yaani unanipa challenge ya kufanya computation as if maelezo yangu yali-base kwenye namba! Nikakujibu:achana kutetea makosa yaliyo wazi..ok ngoja tukubaliane na wewe,sasa basi sasa fanya computation ya hizo number alizotoa za kazi za wasanii
Hapo tena sijazungumzia namba bali nime-base kule kule kwenye tafsiri ya kazi za sanaa na filamu! Sasa wewe na vihesabu vyako ulivyosoma shule, ukaja out of topic na kusema:Watu wengine bhana! Sasa ninachotetea ni nini hapa? Umeisoma hiyo Tweet ya Zitto? Na kama umeisoma kuna sehemu amesema ni filamu? Hebu onesha hapa hayo makosa yaliyo wazi.
Ukazungumzia tena masuala ya namba wakati hata post yenyewe iliyokufanya kuzungumzia hiyo minamba yako mie sikusema chochote kuhusu numbers!kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11
Tatizo sio filamu tatizo ni computation zimekosewa