Bongo Movie Filamu million 8 kwa miaka miwili

mwanaapolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
256
Reaction score
78
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa.

Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua?

Nani ananufaika na nani anaumia?

Je filamu zikiwa bei pendekezwa ya Steps zitauzika zaidi au bei ya sasa ina mashiko?

Je takwimu hizo zina uhalisia?
 
Takwimu za ZZK...Chanzo ni wasimamia kodi
 
Attachments

  • 1422125730198.jpg
    1422125730198.jpg
    31 KB · Views: 438
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa.

Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua?

Nani ananufaika na nani anaumia?

Je filamu zikiwa bei pendekezwa ya Steps zitauzika zaidi au bei ya sasa ina mashiko?

Je takwimu hizo zina uhalisia?

something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea

na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...

au tufanye mimi ndo nimekosea
 
jf kuna wasomi jamani.. safi sana msomaji mzuri hujakosea kabisa upo vizuri mkuu sio wenzetu wana kisia kisia tu
 
Me sijaona sehemu Zitto ameandika filamu,amesema "kazi za wasanii",na hizo kazi zipo nyingi sio filamu tu
 
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa.

Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua?

Nani ananufaika na nani anaumia?

Je filamu zikiwa bei pendekezwa ya Steps zitauzika zaidi au bei ya sasa ina mashiko?

Je takwimu hizo zina uhalisia?

mkuu hizo filamu milioni 8 unazijua au!! naona mheshmiwa nae alikurupuka
 
something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea

na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...

au tufanye mimi ndo nimekosea

Hata hivo sidhani kama kuna uwezekano wa filamu 11 kila siku,kwahiyo kwa week moja kuna filamu mpya 77 bongo?
 
something is wrong
kama nimeelewa vizuri ni kuwa kila siku filamu 11 zinatoka kwa mwaka ni 11 x 366= 4026 mara miaka 2 ni 8052 (elfu nane na hamsini na mbili) ... sijui kama ni mimi, wewe au zito aliyekosea

na kwa hesabu hiyo ya 8 milioni kwa siku 8000000 gawanya kwa 732 ambazo ni miaka 2 na jibu itakua ni wastani wa filamu 10,928 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani...

au tufanye mimi ndo nimekosea
Analysis yako umeifanya kupitia maneno ya mleta mada na sio taarifa ya Zitto! Zitto kabwe amesema "kazi za sanaa" milioni nane na sio "kazi za filamu." Kilichorasimishwa sio filamu peke yake kwa kuangalia zile stamps bali hata muziki na kazi zingine za sanaa! Ukichukulia muziki kwa mfano, ring tones hazijaanza kuuzwa leo wala jana lakini wasanii (wa muziki) walikuwa hawafaidiki coz' kazi zilikuwa hazijarasmishwa lakin leo hii ringtone ni moja ya source kubwa ya mapato kwa wanamuziki baada ya kurasimishwa! Na katika hili sio lazima uwe unapanda kwenye stage... kama una uwezo wa kuandika mashairi mazuri na kuengeneza melody, hiyo inatosha kabisa... hakuna atakayekufahamu kwamba wewe ni mwanamuziki lakini unaweza kuendesha yako peacefully kupitia ringtones bila wewe kuingia studio! Hii kitu anaifanya sana Dogo Ditto.
 
achana kutetea makosa yaliyo wazi..ok ngoja tukubaliane na wewe,sasa basi sasa fanya computation ya hizo number alizotoa za kazi za wasanii
 
Watu wengine bhana! Sasa ninachotetea ni nini hapa? Umeisoma hiyo Tweet ya Zitto? Na kama umeisoma kuna sehemu amesema ni filamu? Hebu onesha hapa hayo makosa yaliyo wazi.
 
kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11
Tatizo sio filamu tatizo ni computation zimekosewa
 
Yaani haiwezekani kuwa na kazi 11 kwa siku? Hivi unafahamu kwa siku ni nyimbo ngapi zinakuwa released? Hivi una habari hata hao Bongo Movie kila siku wanakuwa location? Siku hizi kila msanii wa Bongo Movie anajiita producer na director na kuanza kutengeneza kazi zake mwenyewe! Halafu useme kazi za filamu+bongo flavor hazifiki 11 kwa siku?!
 
Zinapatikana sana.
 
kama mpaka hapa hujanielewa You need Jesus...maana naona umeanza kuleta data zako na sio zile za kwenye main topic...linaweza kuwa sio kosa lako pia maana MATHEMATICS ni janga la Taifa so huelewi hata average inatapatikanaje
 
Wewe nadhani natakiwa kukupuuza kwa sababu tunapotezeana muda bila sababu! Post ambayo ulini-quote ni hii:
Analysis yako umeifanya kupitia maneno ya mleta mada na sio taarifa ya Zitto! Zitto kabwe amesema "kazi za sanaa" milioni nane na sio "kazi za filamu." Kilichorasimishwa sio filamu peke yake kwa kuangalia zile stamps bali hata muziki na kazi zingine za sanaa! Ukichukulia muziki kwa mfano, ring tones hazijaanza kuuzwa leo wala jana lakini wasanii (wa muziki) walikuwa hawafaidiki coz' kazi zilikuwa hazijarasmishwa lakin leo hii ringtone ni moja ya source kubwa ya mapato kwa wanamuziki baada ya kurasimishwa! Na katika hili sio lazima uwe unapanda kwenye stage... kama una uwezo wa kuandika mashairi mazuri na kuengeneza melody, hiyo inatosha kabisa... hakuna atakayekufahamu kwamba wewe ni mwanamuziki lakini unaweza kuendesha yako peacefully kupitia ringtones bila wewe kuingia studio! Hii kitu anaifanya sana Dogo Ditto.
Sijazungumzia popote suala la hiyo "11" na any kind of arithmetic bali nilijikita kwenye suala la "kazi za sanaa" kama alivyosema Zitto na suala la kazi za filamu kama ilivyotafsiriwa na wadau! Wewe ndo ukaja na habari zako za namba, ukasema:
achana kutetea makosa yaliyo wazi..ok ngoja tukubaliane na wewe,sasa basi sasa fanya computation ya hizo number alizotoa za kazi za wasanii
Yaani unanipa challenge ya kufanya computation as if maelezo yangu yali-base kwenye namba! Nikakujibu:
Watu wengine bhana! Sasa ninachotetea ni nini hapa? Umeisoma hiyo Tweet ya Zitto? Na kama umeisoma kuna sehemu amesema ni filamu? Hebu onesha hapa hayo makosa yaliyo wazi.
Hapo tena sijazungumzia namba bali nime-base kule kule kwenye tafsiri ya kazi za sanaa na filamu! Sasa wewe na vihesabu vyako ulivyosoma shule, ukaja out of topic na kusema:
kwani mie kuna sehemu nimesema hizo 8,000,000 NI FILAMU? Zitto kasema jumla ya kazi za wasanii zilizokuwa registered ni kazi milion nane,ambazo wastani wake kwa siku ni kazi kumi na moja,TUNACHOSEMA HAKUNA WASTANI WA NAMANA HIYO,MAANA UKICHUKUA WASTAN WA KAZI 8,000,000/732 ILI KUPATA WASTANI WA SIKU KWA MIAKA MIWILI HUPATI WASTANI WA KAZI 11
Tatizo sio filamu tatizo ni computation zimekosewa
Ukazungumzia tena masuala ya namba wakati hata post yenyewe iliyokufanya kuzungumzia hiyo minamba yako mie sikusema chochote kuhusu numbers!
To make story short, kama unadhani huto tu namba twako ni issue basi niseme kwamba umeingia choo kike tena nakuona mshamba manake ungefahamu background za watu wala usingeropoka na kuanza kuongea utumbo kuhusu hesabu ambazo hata mtoto wa darasa la nne anaweza kufanya! Kwahiyo acha ulimbukeni wako usio na maana... na unapom-quote mtu lazima umuelewe anazungumzia nini otherwise itakuwa ni suala la kupotezeana muda bila sababu za msingi coz' haiwezekani mie nazungumzia masuala ya mahindi halafu anakuja mwingine analeta masuala ya mihogo! Kama lengo lako lilikuwa kuhoji uhalali wa 8m na 11 per day basi ulitakiwa ku-quote the right post inayozungumzia namba na sio iliyo-base kwenye suala la kazi za sanaa na kazi za filamu!
 
Back
Top Bottom