Bongo Movie Film maker ndani ya JF

Karibu sana JF msanii wa bongo movie,umeshatoa ngapi?
 
Asante sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Asante

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Zipo nyingi tu zilizotoka

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Karibu mkuu pitia jf rules.
 
Karibu Cloud jisikie nyumbani,huku kuna vijineno vipya ndugu yangu!!Nondo,fact,source,mburula,kilaza,dhaifu nk, siyo mageni kiujumla ila kule Bongo5 si hakunaga tindo? Ah!karibu mkuu.

hahahaaaa.....! Mwambie kabisaa huku hakuna kulembaa!!! Huku ni swaga za kiutu uzima wala si zakitoto kama fb maana kule hata ukiwa na 60yrs unashushwa mpaka 18yrs.

Btw. Karibu sana Cloud 112 kwenye kisiwa cha ma great thinkers
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
hahahaaaa.....! Mwambie kabisaa huku hakuna kulembaa!!! Huku ni swaga za kiutu uzima wala si zakitoto kama fb maana kule hata ukiwa na 60yrs unashushwa mpaka 18yrs.

Btw. Karibu sana Cloud 112 kwenye kisiwa cha ma great thinkers

Ndio mimi Cloud na unaweza nicheck pia kwenye www.cloud112.blogspot.com

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Karibu sana Cloud 112 wakaribishe pia kina wema,wolper,ray etc waje humu pia
 
Last edited by a moderator:
basi kama ni yeye cloud original basi awe verified.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…