Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.Salam wana JF,
Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.
Cloud
View attachment 96614
Karibu Cloud jisikie nyumbani,huku kuna vijineno vipya ndugu yangu!!Nondo,fact,source,mburula,kilaza,dhaifu nk, siyo mageni kiujumla ila kule Bongo5 si hakunaga tindo? Ah!karibu mkuu.
Kawa verified? Au kuna msanii kaamua kutumia jina lake?
Zipo nyingi tu zilizotoka
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
hahahaaaa.....! Mwambie kabisaa huku hakuna kulembaa!!! Huku ni swaga za kiutu uzima wala si zakitoto kama fb maana kule hata ukiwa na 60yrs unashushwa mpaka 18yrs.
Btw. Karibu sana Cloud 112 kwenye kisiwa cha ma great thinkers