Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

waigizaji wenyewe wa bongo movies wanashinda na Korean dramas, na waliishajikatia tamaa ya kufanya vizuri
 
Hongera zao, nadhani watapata wateja sana mikoani na Mbagala, tandika, kwa mnyamani, kwa bibi nyau, bila kusahau Manzese,
 
Kwisha habari yao...!!!!...wasitegemee nitawasapoti kwa kweli..Bora nikaangalie katuni tu nipoteze mawazo...Nikichoka baadae niangalie zangu series kuliko huo upuuzi wao!!
Mkuu kitambo sana shwari mkubwa jozee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…