inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
wewe jini ulishawahi onana nae wapi,hadi ukaona akivuka barabara haangalii pande zote?Kabla hawajaanzisha TV station waanze kuwa wabunifu kwa kazi zao sio kazi zile zile za jambazi kuvua viatu na jini kuangalia kulia na kushoto anapovuka barabara .... n.k otherwise hata hiyo TV station itabuma tuuuuuuuuu.