Anaitwa Steve..
kuhusu ulichoandika ni hulka ya kibinadamu kujali kinachompendeza yy sio kinachowapendeza watu wengine, ndomana hata humu jf wanawashangaa watu wanaojibizana na ww wakiamini ni kujishusha thamani kureply ama kukuqoute.
uwe na siku njema kaka
Matola