Bongo Movie kwawaka moto, kundi la Bongo Movie Unity lavurugika

Bongo Movie kwawaka moto, kundi la Bongo Movie Unity lavurugika

Hilo kundi la makahaba wenye viwango na mashoga kama walivyoimbwa na ney

Nei naye pimbi sana anaimba wenzie mashoga,naye wamemtoa mipicha yake instagram kibolo kama ukucha.mmmxxxx
 
awa jamaa watafte cha kufanya kingine. kanumba aliondoka n bongo muvi sasaivi hamna wanalofanya.
 
Anaitwa Steve..
kuhusu ulichoandika ni hulka ya kibinadamu kujali kinachompendeza yy sio kinachowapendeza watu wengine, ndomana hata humu jf wanawashangaa watu wanaojibizana na ww wakiamini ni kujishusha thamani kureply ama kukuqoute.
uwe na siku njema kaka Matola

Nilijua tu lazima nicheke kidogo kwa post kama hizi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom