Bongo Movie mnakera, kwanini hambadiliki?

Nimekumbuka yule jambazi msafi kavaa mask na risasi sasa yupo ndani kavua viati nje asichafue sakafu haya maigizo ata siyaangaliagi tena mara ya mwisho niliangaliaga movie ya YOLANDA

huyo jambazi ni genious sana mana kavua viatu ili asisikike aingie kimya kimya pekupeku.. big up majambazi wote wanaofanya hivo.
 

Wangemchukua mtu kama Tchidi Chikere wa Nigeria awape story ya kuact at least wangefanya vitu vya maana kuliko huu ujinga wanaofanya saivi.

Halafu wakati wenzao wanafight kwa gharama yoyote kuonyesha uhalisia hata kwa kitu kidogo tu, huku wanapambana kusave cost ilimradi muvi ikamilike itoke
 

Sasa kama producer ni huyo huyo
Director huyo huyo
Editor huyo huyo
Continity huyo huyo
Sound huyo huyo
Make up huyo huyo
Unategemea nini
 
Hilo la kushindwa kimaintain sauti na background music au effects ndo limenifanya niache kuangalia kabisaaa

Yan zile background sound sijui mziki hua nahisi tu jamaa mmoja anayejifunza kinanda anaenda anajipigia tu then wanakuja kuunganisha.

These cant take even time to learn hata kutoka kwa wenzao wanigeria

Filamu za kinigeria sound tu inakuvutia na kukupa munkari ya kuangalia movie
Na ninahisi wanazigharamia kabisa, maana unakuta ni wimbo wa maana kabisa tena mkali ambao mtu angetolea singo angetoka
 
Tangu afe uncle jj kanumba sijawahi jishughulisha na hao wavaa suti kila movie ndo matajiri[emoji23][emoji23]
 
wabongo mnavunja moyo[emoji23][emoji23]
 
wabongo mna majungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi sipendagi kuwekewa part1 na 2
 
Hii ni laana,Safari ya gwalu yake Gabo zigamba noma noma noma!!!
 
Asubui akienda kazini katundika koti begani akirudi katundika koti begani.

Sijamskia musa banzi siku nyingi.
Mussa Banzi alkuwa anajitahidi kuandika script nae kuigiza igiza anawatusi wazazi cjui ndo kulmpa laana maan kweli kapotea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji12] Hamna mkuu ndo hali halisi hio wacha tuwaseme angalau wanaweza kubadilika kidogo
sas hata kuchukua hizi comment hawawezi hivi hakuna hata miongoni mwao aliyeko humu JF?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watakuwepo wapi waache kujifanyia make up na kurusha picha ista mkuu?
kweli kazi ipo yan wao wawape Uchawi na kucheza singeli lkn seriously stor wanakuwa wanang'aa sharubu tu na kubeba mikoti muda wote.
 


Ukiacha kuziangalia hizi film zao ndipo watajirekebisha....Bongo muvi na wasanii wao wote ni feki tu, bora waache kuigiza tu wajiuze ili tujuwe kitu kimoja.
 
kumbe na kijiuza pia, sas kwann wasiongezee capital ili wafanye kitu amaizng.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…