glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,401
wapo instagram wanashindana kutonesha wanavaa na kula nini.sas hata kuchukua hizi comment hawawezi hivi hakuna hata miongoni mwao aliyeko humu JF?
Kama Dar ni wilayani...then hayaVipi wakati umepanda magari ya mkoani wewe huwa umetokea wilayani au?
Mwingine yuko home pengine ni weekend unamuona amevaa suti.Mimi najiulizaga scripts wanaandika au maneno wanatunga palepale?
Maana wanaongea kama wanawaza, haileti hisia, hawavai uhusika, ukiangalia ni kama watu wanaongea tu
Kurefusha movie kingine, mtu yupo beach tutututururuuu mziki tu unaenda dakika 10, jamani loh
Mavazi bado sana
Mtu anaact kijijini maisha magumu, ameshonea weaving linang'aa
I think its time wainvest kwenye tasnia yao, wafanye vitu kiprofession zaidi, wakuwe to other levels
Tumewafundisha sana!umenikera wewe,badala ya kuwafundisha cha kufanya wewe unawasimanga mkuu!