Bongo movie na CCM

Bongo movie na CCM

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Naunga mkono kauli hii ya Joyce kiria, kweli wasanii wetu bado sana kwenye suala la kujitambua, ubongo umeganda, uwezo wa kufikir umefika kikomo, wengine wanajiuza, wengine mapunda na wengine naona wameamua kuwa misukule kabisaa.Ndio kila mtu ana Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kwa wakati wowote, ila hii ya hawa wasanii wetu kuamua kujifanya wana ccmili tu wapate pesa za kununua bikini na boxer, swali je siku zote walikuwa wapi? na kwa nini wote wajiunge na ccm kwa wakati mmoja?, kuna siri gani behind za scene?. Shame on them...
 

Attachments

  • 1391445810729.jpg
    1391445810729.jpg
    24.3 KB · Views: 202
Njaa mbaya sanaaaaaa
 

Attachments

  • 1391449962629.jpg
    1391449962629.jpg
    57.3 KB · Views: 170
Yani ww mandazi kweli, kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama akipendacho wao wamependa ccm kama ww ulivyopenda chadema na usiponunua ww kazi zao cc tutanunua ww mtu mmoja huwezi kuwalaza njaa wale wasanii
 
Yani ww mandazi kweli, kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama akipendacho wao wamependa ccm kama ww ulivyopenda chadema na usiponunua ww kazi zao cc tutanunua ww mtu mmoja huwezi kuwalaza njaa wale wasanii

Nashukuru kwa umejua ni njaa zilizowapeleka CCM na si mapenzi ya dhati na chama hicho, ahsante
 
Back
Top Bottom