warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Naunga mkono kauli hii ya Joyce kiria, kweli wasanii wetu bado sana kwenye suala la kujitambua, ubongo umeganda, uwezo wa kufikir umefika kikomo, wengine wanajiuza, wengine mapunda na wengine naona wameamua kuwa misukule kabisaa.Ndio kila mtu ana Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kwa wakati wowote, ila hii ya hawa wasanii wetu kuamua kujifanya wana ccmili tu wapate pesa za kununua bikini na boxer, swali je siku zote walikuwa wapi? na kwa nini wote wajiunge na ccm kwa wakati mmoja?, kuna siri gani behind za scene?. Shame on them...