Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

Wanatia huruma (huzuni) sana...
Wamepotea njia Masikini...!! Ila yote ni njaa, hawana jinsi...
 
sasa kama wameshindwa kusimama mbele ya camera watawaambia nn watanzania wenye akili timamu
 
Ivi ipo bado nadhani kanumba alisepa na bongo movie ao washa nunuliwa Na watajiju
 
Hakuna namna ngoja watumike maana hata kuigiza hawawezi tena, hivi na Steve uwa anaigiza movie? Au ndo ile kuigiza sauti ya baba wa taifa?
 
Watawaokota wenye muda mchafu wa kuangalia hayo ma mapicha yao yasiyo na viwango
 
Hakuna namna ngoja watumike maana hata kuigiza hawawezi tena, hivi na Steve uwa anaigiza movie? Au ndo ile kuigiza sauti ya baba wa taifa?

Huyu jamaa hata siijui movie yake hata moja sema ni msanii kwa kuwa yupo ktk kundi la wasanii
 
nyuso zao zinaonyesha kuchoka vibaya..halafu lile bonge sijui jb ni jinga sana aisee
sijawahi kumuamini mtu mwenye limwili kama jb au lemutuz,akili zao huwa ni inversely proportion to their bodies...wavivu wa k*nya
 
Back
Top Bottom