figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
mwaka jana mwezi wa 12 sajuki aliwaomba wasanii wenzake wa bongo movie wakampe support katika show iliyo kuwa ifanyike arusha wakakubali, show ilikua ifanyike siku ya jumapili lakini wasanii wa bongo movie baada ya kuona muitikio wa watu ni mkubwa wakaenda kufanya show peke yao jumamosi bila kumshirikisha sajuki na hela hawakumpa. baadala yake wakamwambia abadilishe show iwe wiki ijayo moshi lakini sajuki alikataa baada wasanii wa bongofleva kukubali kumpa kampani j2. ndo siku aliyo anguka jukwaani. mia