kwa kweli. cha kusikitisha wanaenda kufanya show siku moja kabla ya show yake. yeye alikua hajui kama wenzao wanafanya show. usiku wa kuamkia siku ya show ndo bongo movie wanampigia simu eti show ya arusha imeahirishwa baadala yake itafanyika moshi so ajiandae kwa matangazo ya moshi wakati kashalipia matangazo arusha. akamua kufanyia arusha bila bongo movie. mia
Hebu nisaidieni jamani mi huwa sielewi, hawa bongo movie huwa show zao zinakuwaje? Wanakuwa wanaigiza jukwaani au wanaimba au wanacheza au wanafanyaje? Mashkolo magheene