figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
mwaka jana mwezi wa 12 sajuki aliwaomba wasanii wenzake wa bongo movie wakampe support katika show iliyo kuwa ifanyike arusha wakakubali, show ilikua ifanyike siku ya jumapili lakini wasanii wa bongo movie baada ya kuona muitikio wa watu ni mkubwa wakaenda kufanya show peke yao jumamosi bila kumshirikisha sajuki na hela hawakumpa. baadala yake wakamwambia abadilishe show iwe wiki ijayo moshi lakini sajuki alikataa baada wasanii wa bongofleva kukubali kumpa kampani j2. ndo siku aliyo anguka jukwaani. mia
tutakutana nao msibani kwani ni wakati mwingine tena wa unafiki
Mbona wameshatangaza kamati ya mazishi? Kuna watu wamechunwa nyuso wewe. R.I.P Juma.
To me the thing that is worse than death is betrayal,bonge movies walimsaliti sajuki kule arusha,shame on them
Unaweza kututajia majina ya waliomhujumu? Naamini si bongo Movies wote.
wapo watakao kuja. lakini asilimia kubwa hawatakuja mwenyewe utaona. nafsi zao zinawasuta sana. coz ile hela ingepatikana angeongezea na hela wasanii wa mbeya walio mchangia akaenda india. lakini mipango aliyo panga iliharibika baada ya wenzake kumsaliti akakosa hata nguvu za kuaandaa show nyingine coz aliwategemea bongo movie. cha ajabu kila mmoja alijifanya busy. mia
ukitaka kuwajua bonyeza hapa, hii ilikua tarehe 15 wakati walipanga na sajuki tarehe 16. miaHata mwenzao mgonjwa wanashindwa kumsaidia wanaweka maslahi mbele kabla ya anythin,tunaomba majina yao yote,now wanajifanya kuhuzunika