Bongo Movie wanapataje hela?

Bongo Movie wanapataje hela?

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Habari,

Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?

Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.

Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
 
Attachments

  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    65.6 KB · Views: 7
  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    72 KB · Views: 7
Kuuza nyapu na tuzi. Hii ni kwa jinsia zote.

Waarabu wanawabakua mno waigizaji wa kiume.
Wafanyabiashara pamoja na wanasiasa wao wanabadilishana tu wale wa kike.
Kwa wale waliokosa mvuto kama andunje Steve Nyerere, yeye anakuwadia wenzie.

Na kwa sasa kuja kwa mama mpenda sifa basi nao wameingia kwenye uchawa.
 
Habari,

Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?

Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.

Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vip hela.
siku hizi ndio maana hawatoi movie bali thamthlia ambapo mostly zinakuwa mali za kampuni kama multi-choice ambao ndio wanatoa mpunga. Unapeleka script na demo wakikubali unawapa budget wanakupatia mpunga.... then mengine utajazia.
 
Habari,

Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?

Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.

Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
Udangaji,uchawa kwa CCM,utipii na kula michango ya misiba.🤣🤣🤣🤣🙏
 
Back
Top Bottom