Steven Charles Kanumba, maarufu kama Kanumba, alikuwa mmoja wa waigizaji waliokuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia ya filamu Tanzania.
Alizaliwa Januari 8, 1984, mkoani Shinyanga. Safari yake ya sanaa ilimfikisha katika kundi la Kaole Arts Group kabla ya kujijengea umaarufu mkubwa kupitia...
Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri).
Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani.
Sasa...
KWA NINI FILAMU ZETU HAZIGUSI HISIA ZA WATAZAMAJI KIKAMILIFU? BONGO MOVIE NA CHANGAMOTO YA CULTURAL IMMERSION
Anaandika Robert Heriel Mtibeli.
Mwanasaikolojia Mtunzi.
Leo Mtibeli nitaleta mjadala kuhusu Tasnia ya filamu. Ambapo Tasnia hii ni moja ya Tasnia iliyoajiri vijana wetu wengi sana. Na...
Chezeni movies au series zinazohusu historia au matukio ya kweli yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini kwetu.
Mfano, mnaweza kuigiza series zinazozungumzia Vita vya Majimaji, historia ya Mkwawa, Mirambo, Mangi Sina na Meri, Mwanamalundi, Bibi Titi, Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Nyungu...
Yaani bongo muvi ni ufuska mtupu umejaa tu pale hakuna kitu mule
Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee
Nimepita page za wachekeshaji mtandaoni maarufu kama COMEDIAN WA BONGO , Jamaa wanaomba matangazo hata ya Tsh 50,000/= na kumaliza kwa kusema "NJAA ITATUUA"
Mkawasapoti wapate unga na dagaa mchele sisi ni wamoja
Wakuu,
Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo.
Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga.
Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
Monalisa ambaye kwasasa amevuliwa uwanachama na chama chake cha ACT amezidi kufunguka nakusema kitendo hicho chama chake kimefanya utoto huku akitoa siku mbili barua hiyo iweze kukanushwa
Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa?
Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu.
Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote.
Chawa sijaona...
Ndugu wa mtoto mvulana aliyejinyonga Arusha siku chache zilizopita, wanasema labda sababu ilikuwa ni kutazama filamu za kutisha
Wazazi wangetuachia,Men of the Cloth,tutunze watoto,badala ya kuwapotezea muda watoto kwa kuwafundisha uongo
Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli.
===
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".
"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari
Chanzo: EATV
Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao...
1. Jennifer Kyaka - Sterling.
2. Yusuph Mlela.
3. Jackline wolper.
4. n.k
Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.