Top ten Bongo movie series of all time.
Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia.
lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni.
Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇
Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa...
aibu
arusha
bongobongomovie
clouds
clouds fm
kilimanjaro
kubwa
kusema
mji
mlima
mlima kilimanjaro
movie
msanii
mwijaku
pekee
ulipo
utalii
wakati
watangazaji
Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha!
Moja kwa moja niende kwenye hoja!
wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu!
Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
Aisee katika industry iliyo na kasoro kwa sasa tukubali ni hawa waigizaji wa sinema kiujumla.
Sinema za sasa hazieleweki zina zungumza nini! Nilicho bahatika kuona walivo jipodoa na misambwanda.
Tuje wale wa kila siku movie zinatoka aka mbagala movie au ukitakaa kushuudia zipo wapi nenda...
Habari wakuu,
Najua kuna watu wamejtoa kabsa kufatilia Bongo Movie lakini embu tujadili kidogo mana hakuna namna mtoto hata akiwa taira huwezi msusa.
Nimejaribu kukaa kuwaza kwanini Bongo Movie haipandi kimataifa.
Na hizi ndo sababu nilizoziona.
1. Directors
Baadhi ya madirector wamekua...
Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake.
Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.
Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
arusha
bongobongomovie
hai
jana
kesi
kilimanjaro
kuhusu
kusikiliza
kutoka
mahakama
mahakamani
mikoa
mkuu wa wilaya
movie
ole sabaya
sabaya
vichekesho
wananchi
wapi
Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi...
Nafahamu kuwa nje specific Hollywood wanakuwa wanatumia programmes maalum za kuandika scripts za movie au Tv shows programmes zenyewe ni kama Final Draft au Celtx ambazo zinauzwa unakuta.
Sasa nataka kujua Tz creators wanatumiaga nini maana zile mostly zimekuwa zimesetiwa English hata zile...
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI
Anaandika, Robert Heriel
Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.