Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao.
Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye misemo ya kiswahili hivyo kujizolea umaarufu. Alianza kunivutia kuangalia tena hizi movie zao ila...
TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL)
(MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU)
MWANDISHI/MTUNZI: MANSHYNE
Email address: manshinef@gmail.com
instagram: @manshynee
Sehemu ya 01.
DARASANI:
Ilikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ya biashara. Lecturer...
Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa
Pia wanatumia staili hiyo ili...
Assalam aleykum,
Nimeona thread moja ambayo imetoa utani nikashawishika kuandika hii in a serious manner kidogo.
Kabla ya kuendelea nianze kwa kutoa ONYO: Haya ni mawazo yangu binafsi kwa kadri ninavyoamini na kuelewa kwanini sekta ya filamu za kitanzania inayumba na wachukue hatua zipi.. Kwa...
Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.