Naomba kuuliza kuhusu huyu msanii wa Bongo Movie kama yupo hai

Naomba kuuliza kuhusu huyu msanii wa Bongo Movie kama yupo hai

Andromeda Galaxy

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
9,846
Reaction score
16,713
Naomba mwenye kujua kama huyu msanii yupo hai atujuze, Jina lake alikuwa akiitwa Scola.

Screenshot_20250905-190017_1.jpg
 
Scola nani?Ni jina halisi au la kisanii?
Ngoja waje utajibiwa
 
Back
Top Bottom