USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri).
Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani.
Sasa muigizaji maarufu Bi Kauye amejitokeza Hadharani na kuomba msamaha Watanzania wote, Bi Kauye amesema;
"Naombeni Mnisamehe Mimi hayo siyo mambo yangu ilikuwa ni utani tu tukiwa location, naombeni mfute hiyo video Mimi nina watoto Wakubwa, Basata pamoja na Bodi ya Filamu naombeni Mnisamehe hayo siyo mambo yangu kabisa, napitia kipindi kigumu mno"
Ombi kwako Waziri Gwajima isifike usiku hujamuita huyu mzee wa hovyo
#fblifestyle