Connection ya wa bongo movie, Waziri Gwajima isifike jioni hujasema lolote taifa linasubilia onyo kali

Kwenye dharura mwanaume unasimamisha na unazamisha vizuri tu. Kuoa ndiyo habari lakini kula na kusepa siyo habari. Huyo kijana kabisa. Kuna wabibi wanafanya vizuri mpaka wenge linakuisha.🤣🤣🤣🤣
Hao unaweza kuwaua ukiwa shababi, ndiyo maana napenda mabinti sio hao age go 😅
 
Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri).

Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani.

Sasa muigizaji maarufu Bi Kauye amejitokeza Hadharani na kuomba msamaha Watanzania wote, Bi Kauye amesema;

"Naombeni Mnisamehe Mimi hayo siyo mambo yangu ilikuwa ni utani tu tukiwa location, naombeni mfute hiyo video Mimi nina watoto Wakubwa, Basata pamoja na Bodi ya Filamu naombeni Mnisamehe hayo siyo mambo yangu kabisa, napitia kipindi kigumu mno"

Ombi kwako Waziri Gwajima isifike usiku hujamuita huyu mzee wa hovyo

#fblifestyle
View attachment 3671111
Inaonekana wanamshika shika sana huko location.
 
Nimegundua wabibi huwa wana nyege sana lakini hawapati wa kuwazagamua.

Nitoe rai kwa vijana wote wa kitanganyika, hakikisheni mnawapa mihogo hawa mabibi wasije kuchizika kwa ugwadu.

Hii ni mbiu ya mnyonge, hima hima msiwaache hawa vikongwe wanapata shida sana.

Hamna kitu kinauma kama nyege, bora uumwe na tumbo utajamba, lakini nyege unaweza ukavaa chupi kichwani ukaanza kuokota makopo.

Cc: Mbaga Jr secretarybird Monetary doctor Harmful binti kiziwi
Kama kuna Bibi humu basi afuate huu ushauri na anicheki PM.
 
Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri).

Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani.

Sasa muigizaji maarufu Bi Kauye amejitokeza Hadharani na kuomba msamaha Watanzania wote, Bi Kauye amesema;

"Naombeni Mnisamehe Mimi hayo siyo mambo yangu ilikuwa ni utani tu tukiwa location, naombeni mfute hiyo video Mimi nina watoto Wakubwa, Basata pamoja na Bodi ya Filamu naombeni Mnisamehe hayo siyo mambo yangu kabisa, napitia kipindi kigumu mno"

Ombi kwako Waziri Gwajima isifike usiku hujamuita huyu mzee wa hovyo

#fblifestyle
View attachment 3671111
Ndio mambo ya usanii
 
Kwa kusoma tu comment, hamna mwenye video hapa
 
Back
Top Bottom