GE2025 CCM waja na tamthilia (bongo muvi) ya kusifia serikali ya Samia, kweli vuguvugu la maandamano linawanyima usingizi!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo.

1759308701254.png

Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima wanavyofaidika ikiwa ni pamoja na kufanya biashara na wanunuzi mpaka wa nje, huku wakimalizia kwa kusema kweli mama kaupiga mwingi na kwamba lazima wampigie kura kwenye uchaguzi.

Lakini uhalisia ukoje? Kilimo kweli kinawalipa wakulima wetu, mazingira ya biashara na bei za mazao zikoje? Wananachi wanahamasika na kuona kilimo kama sehemu wanaweza kuwekeza na kujiinua kimaisha? Vipi kuhusu madalali wa mazao? Bei shindani? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Screenshot 2025-10-01 110644.png

Hii inaonesha ni jinsi gani CCM na serikali inatapatapa, yaani wameshikwa pabaya kweli na hili vuguvugu la maandamano. Kila sehemu wanajaribu kujisafisha lakini wapiii, raia wamegomaa! Mambo yanafurahisha Malawi!

Screenshot 2025-10-01 110603.png

Halafu Director imekuaje ukaruhusu kosa la kiufundi kwenye bei aliyotaja yule mfanyabiashara sijui investa? Wawekezaji wamesema laki sita, bwana mtafsiri akasema milioni mia 600! Kwahiyo mmetuambia kuwa wawekezaji/wanunuzi wa mazao kutoka nje lengo lao huwa ni kunyonya na kubaragaza wakulima wetu, wakisaidia na washenzi kutoka kwetu?:BearLaugh::KEKWlaugh::KEKWlaugh:

Screenshot 2025-10-01 110546.png
 
Kina nape na kitila wapo moshi kwenye kampeni za mgombea wao wa urais. Kumbe hao wajuba wanasoma nyuzi na komenti humu. Naona wamekazana kujibu hoja mbalimbali kuhusu mgombea wao kwa namna alivyopatikana na suala la rushwa watapambana nalo vipi. Awali mgombea wao hukuzungumzia kabisa suala la rushwa na ikahojiwa kwa nini hazungumzii rushwa kwenye kampeni zake, kina nape wanajibu huko moshi
 
CCM kwenye kampeni za mwaka huu wanatumia nguvu nyingi sana na matumizi makubwa ya fedha kana kwamba kuna mshindani wa kushindana naye. CCM inashindana na vyama vyake shikizi hakuna sababu ya kutumia maguvu mengi kiasi hiki. Mshindani wa CCM ni CHADEMA ambayo haigombei, walau CHADEMA ingegombea ingeonekana ni vema kutumia maguvu na manuever mengi kushindana na chama chenye upinzani wa kweli. Kwa ujumla uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu!
 
Bongo movie wenyewe kazi zao haziaminiki na hazina mvuto.
Huwezi kushawishi jamii kwa kutumia mtu ambaye haaminiki na jamii
Waache wajikune na kucheka wenyewe
 
Watahangaika sana mwaka huu
 
Noma sana, watakuwa wanapita kimya kimya kuogopa spana😂😂 na wakipiga kelele wataulizwa wameipata vipi JF wakiwa Tz
 
CCM kwenye kampeni za mwaka huu wanatumia nguvu nyingi sana na matumizi makubwa ya fedha kana kwamba kuna mshindani wa kushindana naye. CCM inashindana na vyama vyake shikizi hakuna sababu ya kutumia maguvu mengi kiasi hiki. Mshindani wa CCM ni CHADEMA ambayo haigombei, walau CHADEMA ingegombea ingeonekana ni vema kutumia maguvu na manuever mengi kushindana na chama chenye upinzani wa kweli. Kwa ujumla uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu!
Aibu kubwa! Wanatumia pesa nyingi kuimpress wananchi ambao wamegoma!
 
Bongo movie wenyewe kazi zao haziaminiki na hazina mvuto.
Huwezi kushawishi jamii kwa kutumia mtu ambaye haaminiki na jamii
Waache wajikune na kucheka wenyewe
Comments zinawapopoa tu huko
 
CCM wamejisahau sana, zama zimebadilika, huwez kuwaambia wananchi uliyofanya yakabadilisha mawazo yao ikiwa uhalisia unakinzana na maneno yako. Wanashindwa kuona kwa JPM, yaan alichokuwa anasema ndicho wananchi wanakiona barabarani au mtaani, hakutumia nguvu.

Yaani yeye anatoa propaganda, watu wanateseka uko kwenye mwendokasi, nani atakuelewa. Ilitakiwa wapate mgombea mpya, ili wananchi washindwe kumuhukumu maana hakuwepo, ata kama wananchi haiwependi CCM ila wangegawanyika, na kusema uyu mpya, ni mchapa kazi, na hana skendo. Ila sasa kwa uyu Samia ni shida tupu, wizi na mauaji nje nje. Wananchi sasa wameungana, kutoboa hapo ni mtihani.
 
A hungry man is an ANGRY MAN...
GHAFLA wanajifanya wanajuwa shida ni nini?!
Ila uongo, wao na familia zao wanaishi KIFALME!
HII NGOMA ITAWASUMBUWA SANA SANA. Na hata wakikimbilia kwenye UDIKTETA, KUTEKA, KUTESA, KUNYANYASA NA KUUWA RAIA, HAITAWASAIDIA KABISA KABISA KABISA..
 
Back
Top Bottom