Hapo ndo naonaga CCM kuna watu wengi hawanaga akili yani Bongo movies ndo watumike kueleza maisha ya mkulima wa Kilimilile au Nsunga ndani ndani au KK si bora Afisa ugani ambao wanaisha na wakulima ndo wanaweza kuongea uhalisia kidogo bongo movies hawa wanaoshinda dar wanaisha dar ndo anaongelea habari za mkulima Bongo movie wangeongelea madanga ndo kitu ambacho wanakiishi mambo ya wakulima Afisa ugani ndo wanaweza kuongelea habari za wakulima. CCM msileta maigizo kwenye maisha hiyo aipunguzi ukali wa maisha ya wakulima kwa maigizo ya Bongo movies tumieni akili kama mwendo kasi umewashinda mtaweza wakulima milion karibia 55 ushauri wa bure kuliko kutumia bongo movies mgetumia Afisa Ugani na wauzaji mbolea kwa wakulima kuandaa vipindi vikaruka live sio hizo mbuzi zinaitwa Bongo movie wadangaji wanawezaje kuongelea maisha ya wakulima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.