Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa ubora wa hali ya juu unaweza kudhani ni MAD MAX original. Bongo movie wangetumia ubora huu alioufanya mbosso tungeepukana na ezi aibu za uchawa kama taifa

Ebu tazama dude hilo


View: https://youtu.be/YR97jEFS0vA?si=45jEDw8Dxv6Xz6a5
 
Back
Top Bottom