siku hizi ndio maana hawatoi movie bali thamthlia ambapo mostly zinakuwa mali za kampuni kama multi-choice ambao ndio wanatoa mpunga. Unapeleka script na demo wakikubali unawapa budget wanakupatia mpunga.... then mengine utajazia.Habari,
Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?
Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.
Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vip hela.
Udangaji,uchawa kwa CCM,utipii na kula michango ya misiba.π€£π€£π€£π€£πHabari,
Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?
Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.
Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.