ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimecheka sana aiseeUnaangalia muvi ya Yesu waloigiza wabongo
Maria: Yosefu nina mimba
Yosefu: Yesu wangu! mimba ya nani?
Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa maana km ni mimba bado hata hajazaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Iceman 3D ati dada yako kaigiza na Huyu mtu? Hivi ulijiridhisha kweli kabla ya kumkabidhi aendemo?Kuna muvie moja nimeigiza na dada yake Iceman 3D itatoka mwanzoni mwa mwaka 2017[emoji23][emoji23][emoji23]
-Tulikuwa tuizindue leo sikukuu ya chrismass
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc Iceman 3D ati dada yako kaigiza na Huyu mtu? Hivi ulijiridhisha kweli kabla ya kumkabidhi aendemo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna muvie moja nimeigiza na dada yake Iceman 3D itatoka mwanzoni mwa mwaka 2017[emoji23][emoji23][emoji23]
-Tulikuwa tuizindue leo sikukuu ya chrismass