Bongo movie wanapoigiza movie ya yesu

Bongo movie wanapoigiza movie ya yesu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Unaangalia muvi ya Yesu waloigiza wabongo

Maria: Yosefu nina mimba
Yosefu: Yesu wangu! mimba ya nani?

Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa maana km ni mimba bado hata hajazaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana aisee
 
Hapo wakulaumiwa nani? Producer, editor, script writer au msanii mwenyewe?
 
Back
Top Bottom